Lucy na Emma Wanasherehekea Siku Yao ya Kuzaliwa

Lucy na Emma Wanasherehekea Siku Yao ya Kuzaliwa

Emma awakaribisha wanafunzi wenzake katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa. Ni sherehe ya kuvutia katika chumba cha kuchezea dansi chenye taa za disko na chakula kitamu. Sasa ni wakati wa Lucy kuwa na sherehe yake mwenyewe ya siku ya kuzaliwa. Lakini sherehe yake itakuwa ya kukata na shoka?

Détails du livre

Commentaires

Il n'y pas encore de commentaire pour ce livre.

Vous aimerez aussi